ENG
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Mohamed Mchengerwa (MB), amezindua rasmi msimu wa tatu wa Marathon. Kwa kutambua mchango chanya wa CRDB Bank Marathon kwa jamii na lengo lake la kusaida kutatua changamoto katika sekta ya afya, Mh. Mchengerwa alijiandikisha kushiriki msimu wa tatu wa CRDB Bank Marathon akiwa mtu wa kwanza kabisa kujisajili.
Â