ENG

ENG

ENG

 • Mwanzo
 • Kuhusu
 • Mbio
 • Habari na Picha
 • Matokeo
 • Wadhamini
 • Wasiliana Nasi

ENG

ENG

ENG

Vigezo na Masharti

 1. Ninakubali kwamba nimesoma na kuelewa Sera ya Faragha na Azimio la Fidia
 2. Ninakubali kuwa kwa kuwasilisha fomu ya maombi ya kuingia na kushiriki mbio za CRDB Bank Marathon, ninajua hatari zinazoweza kutokea za ikiwamo kupata ajali, upungufu wa maji mwilini au hata kifo. Ninakubali kwa hiari sababu za hatari hizi zote na idhini ya kupata matibabu kwa hatari ya jali au dharura.
 3. Nitatii sheria na ratiba za CRDB Bank Marathon, na nitatii maagizo yaliyotolewa na wasimamizi wa mbio na kutambua kuwa wana haki ya kukubali au kukataa ombi nje ya ratiba au taratibu za mbio.
 4. Ninakubali kuwa ada ya kuingia ambayo nimelipa mwenyewe au mtu mwingine yeyote inanipa haki ya kushiriki wakati wa CRDB Bank Marathon, na ni mchango wa kusaidia jamii, hivyo kwa namna yeyote sitaomba kurejeshewa.
 5. Saini ya mzazi/ mlezi: Azimio kwa watoto - Ikiwa uko chini ya miaka 18 wakati wa kujisajili katik CRDB Bank Marathon, tamko hili lazima likubalishwe na kuidhinishwa na mzazi wako au mlezi.