ENG

ENG

ENG

ENG

ENG

ENG

Vifurushi

vya Ushiriki

Mshirika - Shilingi Milioni 100

 • Kuwekwa kwa Gazebo uwanjani.
 • Vituo vitatu (3) vya maji kwenye maeneo yenye idadi kubwa ya watu.
 • Vituo vitatu (3) vya burudani kwenye njia za mbio; kuonyesha nembo ya kampuni.
 • Mkurugenzi Mtendaji kukaa kwenye eneo la watu maalum (VVIP) pamoja na wageni rasmi.
 • Usajili wa bure kwa wafanyakazi 50
 • Nafasi 10 za bure za kuhudhuria hafla ya watu maalum kabla ya Marathon (Pre-VIP Party).
 • Meza ya watu 10 kwenye eneo la watu maalum (VIP).
 • Kuwekwa kwa nembo ya kampuni kwenye mabango ikiwamo bango la jukwaa kuu na la kupigia picha.
 • Jina la kampuni na nembo kwenye matoleo yote ya vyombo vya habari, machapisho na kidigitali.
 • Kushiriki mkutano wa kwanza wa wanahabari.
 • Kushiriki kwenye mahojiano ya redio, TV na majukwaa ya kidigitali kabla ya mbio.
 • Kuwasilisha medali kwa washiriki wa mbio za 5km.
 • Kukabidhiwa cheti cha shukrani na mgeni rasmi.

Tanzanite

Mshirika - Shilingi Milioni 75

 • Kuwekwa kwa Gazebo uwanjani.
 • Vituo viwili (2) vya maji kwenye maeneo yenye idadi kubwa ya watu.
 • Vituo viwili (2) vya burudani kwenye njia za mbio; kuonyesha nembo ya kampuni.
 • Mkurugenzi Mtendaji kukaa kwenye eneo la watu maalum (VVIP) pamoja na wageni rasmi.
 • Usajili wa bure kwa wafanyakazi 30.
 • Nafasi 7 za bure za kuhudhuria hafla ya watu maalum kabla ya Marathon (Pre-VIP Party).
 • Meza ya watu 5 kwenye eneo la watu maalum (VIP).
 • Kuwekwa kwa nembo ya kampuni kwenye mabango ikiwamo bango la jukwaa kuu na la kupigia picha.
 • Jina la kampuni na nembo kwenye matoleo yote ya vyombo vya habari, machapisho na kidigitali.
 • Kushiriki mkutano wa kwanza wa wanahabari.
 • Kushiriki kwenye mahojiano ya redio, TV na majukwaa ya kidigitali kabla ya mbio.
 • Kukabidhiwa cheti cha shukrani na mgeni rasmi.

Ruby

Mshirika - Shilingi Milioni 50

 • Kuweka nembo ya kampuni uwanjani na eneo la michezo ya mtoto.
 • Kituo kimoja (1) cha maji kwenye maeneo yenye idadi kubwa ya watu.
 • Vituo viwili (2) vya Burudani kwenye njia za mbio; kuonyesha nembo ya kampuni.
 • Mkurugenzi Mtendaji kukaa kwenye eneo la watu maalum (VVIP) pamoja na wageni rasmi.
 • Usajili wa bure kwa wafanyakazi 20.
 • Nafasi 5 za bure za kuhudhuria hafla ya watu maalum kabla ya Marathon (Pre-VIP Party).
 • Meza ya watu 5 kwenye eneo la watu maalum (VIP).
 • Jina la kampuni na nembo kwenye matoleo yote ya vyombo vya habari machapisho na kidigitali.
 • Kutajwa na kutambuliwa wakati wa hafla ya marathon.
 • Kukabidhiwa cheti cha shukrani na mgeni rasmi.

Shaba

Meza Maalum (VIP) - Shilingi 2

 • Meza maalum (VIP) kwa watu 10.
 • Bidhaa zenye nembo ya kampuni: Fulana za ziada, kofia.
 • Nafasi 5 za bure za kuhudhuria hafla ya watu maalum kabla ya Marathon (Pre-VIP Party).
 • Kuwekwa kwa nembo ya kampuni husika kwenye meza, klabu za wakimbiaji.
 • Nafasi za maegesho ya magari katika eneo la watu maalum (VIP).
 • Kutumia bafu la watu maalum (VIP).
 • Punguzo la gharama ya vinywaji

 Usajili wa ushiriki wa kampuni

 • Kampuni inaweza kuchagua meza maalum (VIP) ya watu 10 (10 pax shilingi 2,000,000/=
 • Usajili wa kawaida wa wafanyakazi wao kwa ada ya ushiriki ya  TZS 30,000 kwa kila mtu

Kampuni inayosajili zaidi  ya wafanyakazi 3 itapita

Punguzo la bei hadi shilingi 25,000/= kwa mtu  mmoja.Kupelekewa vifaa vya kushiriki mbio kwenye ofisi zao.

Machapisho ya mitandao ya kijamii yanayothibitsha ushiriki wao ikiwamo picha na video za pamoja.Kutajwa na kutambuliwa wakati wa hafla ya marathon.  

Meza Maalum (VIP) - Shilingi 2

 • Meza maalum (VIP) kwa watu 10.
 • Bidhaa zenye nembo ya kampuni: Fulana za ziada, kofia.
 • Nafasi 5 za bure za kuhudhuria hafla ya watu maalum kabla ya Marathon (Pre-VIP Party).
 • Kuwekwa kwa nembo ya kampuni husika kwenye meza, klabu za wakimbiaji.
 • Nafasi za maegesho ya magari katika eneo la watu maalum (VIP).
 • Kutumia bafu la watu maalum (VIP).
 • Punguzo la gharama ya vinywaji

Usajili wa ushiriki wa kampuni

 • Kampuni inaweza kuchagua meza maalum (VIP) ya watu 10 (10 pax shilingi 2,000,000/=
 • Usajili wa kawaida wa wafanyakazi wao kwa ada ya ushiriki ya  TZS 30,000 kwa kila mtu

Kampuni inayosajili zaidi  ya wafanyakazi 3 itapita

  Punguzo la bei hadi shilingi 25,000/= kwa mtu  mmoja.Kupelekewa vifaa vya kushiriki mbio kwenye ofisi zao.Machapisho ya mitandao ya kijamii yanayothibitsha ushiriki wao ikiwamo picha na video za pamoja.Kutajwa na kutambuliwa wakati wa hafla ya marathon.

Kwa Ushirikiano Na ;