ENG

ENG

ENG

  • Mwanzo
  • Kuhusu
  • Mbio
  • Habari na Picha
  • Matokeo
  • Wadhamini
  • Wasiliana Nasi

ENG

ENG

ENG

Jinsi ya Kujisajili

Jaza taarifa zinazohitajika kisha utapokea namba ya uthibitisho kupitia simu yako ya mkononi. Weka namba ya uthibitisho pamoja na taarifa nyingine zinazohitajika. Pokea namba ya malipo kupitia simu yako ya mkononi. Kamilisha usajili kwa kufanya malipo kupitia SimBanking Mobile App, CRDB Wakala, Tawi la Benki ya CRDB au kupitia mitandao ya simu.

Jinsi ya kufanya Malipo

Kupitia App ya SimBanking

Ingia kwenye App ya SimBanking.

✸ Chagua Services kisha chagua Institutions.

✸ Chagua “Others’’ Kwenye orodha ya Institutions.

✸ Chagua CRDB Bank Marathon.

✸ Ingiza namba ya kumbukumbu ya malipo.

✸ Kisha, endelea na kamilisha malipo.

Kupitia M-PESA

✸ Fungua menu ya mtandao wa simu.

✸ Chagua huduma za kifedha.

✸ Chagua MPESA kwenda Benki.

✸ Chagua CRDB Ingiza “Namba ya kumbukumbu ya malipo”.

✸ Kisha, endelea na kamilisha malipo.

Kupitia App ya Tigo Pesa

✸ Fungua menu ya mtandao wa simu.

✸ Chagua Lipa Bill.

✸ Chagua Lipa kwa kampuni Namba 900600

✸ Chagua CRDB Ingiza “Namba ya kumbukumbu ya malipo”.

✸ Kisha, endelea na kamilisha malipo.

Kupitia VISA au MasterCard

Baada ya kupokea namba yako ya malipo  (Invoice number), chagua lipa kwa kadi kufanya malipo

✸ Hakiki taarifa kwa kuweka alama ya tiki kwenye box.
✸  Utapata risiti yenye taarifa kamili za malipo yako
✸ Chagua kulipia kupitia Debit/Credit Card.
✸ Weka namba ya kadi yako (tarakimu 16 zilizo sehemu ya mbele ya kadi)
✸ Weka Mwezi na mwaka wa ukomo wa matumizi ya kadi
✸ Weka Namba ya usalama ya kadi (Namba tatu za mwisho nyuma ya kadi
✸ Kisha utakua umemaliza malipo yako