ENG

ENG

ENG

ENG

ENG

ENG

Yaliyojiri CRDB Bank Marathon

Benki ya CRDB imetangaza zawadi za washindi wa msimu wa pili wa CRDB Bank Marathon 2021 ambapo jumla ya shilingi milioni 45.4 zitatolewa kwa washindi 32. Akitangaza zawadi hizo, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa alisema .....

Washindi wa Marathon 2021 kuzawadiwa TSH 45.4M


Shilingi Milioni 200 Zakusanywa Kusaidia Upasuaji Wa Moyo Kwa Watoto 100
 

Mbio za hisani za Benki ya CRDB zimekuwa na mafanikio makubwa kwa kukusanya zaidi ya shilingi milioni 200 kusaidia watoto wenye uhitaji wa upasuaji wa moyo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ambapo zaidi ya watu 4,000 walishiriki.

Soma Zaidi

Soma Zaidi

Boniphace Ngwata alishinda mbio za baiskeli km 42 kwa upande wa wanaume na Jamila Abdul alishinda mbio za baiskeli km 42 upande wa wanawake. Joseph Panga aliibuka kidedea katika mbio za km 21 upande wa wanaume wakati Faulina Mathayo akiibuka kidedea kwa upande wa wanawake. Wahindi wa 10 kwa upande wa wanaume na wanawake ni Mathayo Yamhenda na Angelina Mboya.......

Wakimbiaji Kutoka Arusha Watisha CRDB Bank Marathon

CRDB Bank Marathon Yatarajiwa Kuwa Tukio Endelevu

Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu atoa wito kwa Benki ya CRDB kuzifanya mbio za CRDB Bank Marathon kuwa tukio endelevu na pia kufanyika katika mikoa mingine nchini....

Soma Zaidi

Soma Zaidi

Kwa Ushirikiano Na ;